AJALI YA PIKIPIKI TUNDUMA
Imetokea ajali ya pikipiki eneo la karibu na kibao cha shule ya msingi maporomoko alfajiri ya leo 3/9/2014.ajali hiyo imehusisha lori la kubeba mafuta na pikipiki, ambapo dreva wa pikipiki(bodaboda) hali yake si nzuri na aliwahishwa katika kituo cha afya tunduma na watu waliofika katika eneo la tukio.Taarifa zaidi za hali ya majeruhi tutafahamishana baadaye 


0 comments: