KWA STAHILI HII LAZIMA WAJUE

...................
 
Mwalimu mmoja wa somo la hesabu katika shule moja ya sekondari wilaya ya momba eneo la Tunduma, kabuni mbinu ya kuwasaidia watoto wasiofanya vizuri katika somo la hesabu. Ameagiza waje na vifaa vya kuhesabia vilivyotengenezwa na wao wenyewe kama inavyoonekana katika picha.Hii imetokana na kugundulika kwa idadi kubwa ya watoto ambao ni wanafunzi wa sekondari wana uwezo mdogo wa stadi ya kuhesabu.


http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: