BILIONEA BILL GATES NA JEURI YA FEDHAAAA
Katika
boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf
na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola
bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu
kinachoweza kumpunguzia chochote Bill Gates. Na ndio maana Bill Gates
yupo mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani
ayafanye. Tajiri huyo amekodi meli binafsi maarufu yacht ambayo analipa dola milioni 5 (zaidi ya shilingi bilioni 8) kwa wiki.
The
Serene Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake Melinda na watoto
wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia. Mwanzilishi huyo wa
Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The Serene
yenye ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler.
Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani
0 comments: