HUU NI UTAJIRI WA KIUTALII WA MKOA WA MBEYA UNAUFAHAMU.............!
Mkoa huu wa mbeya unavivutio vya kiutalii vingi sana ambavyo hupatikana katika mkoa huu.
Tuanze na mlima mbeya, mlima huu hupatikana karibu na mbeya mjini ambapo ukifika ni rahisi kuuona.
mlima mbeya
pia kuna mlima mwingine unapatikana rungwe. Huu mlima unafahamika kwa jina la mlima rungwe,
mlima rungwe
baada ya milima kuna maziwa yatokanayo na volcano:
1.ziwa ngozi
2.ziwa masoko
3. baada ya ziwa ngozi na ziwa masoko kuna maziwa matatu zaidi moja likiwa eneo lakambasegere na mengine mawili bada sehemu hizo sijazifahamu
picha hii hapo chini inaonyesha sehemu zilipo volcano lakes ambazo zimewekewa alama ya njano
0 comments: