MAAJABU HAYA HAYAPO PENGINE POPOTE ZAIDI YA AMAZONI

...................
msitu wa amazoni unapatikana america ya kusini.msitu huu unamaajabu mengi sana ambayo hushangaza watu wa ulimwengu huu.yafuatayo ni baadhi tu ya maajabu hayo:
1. The Jesus Lizard(mjusi yesu)
www.factzoo.com 
japo waliotoa jina hili naweza kusema wamekufuru lakini mjusi huyu anauwezo wa kutembea juu ya maji kwa miguu miwili na hata kukimbia bila kuzama

Chura wa kioo
www.frogsaregreen.com 
anapatikana katika misitu ya amazonichura huyu ukimwangalia anangozi angazi inayoweza kukufanya uone viungo na maumbile yake ya ndani kwa urahisi jinsi yalivyo

Chura mwenye kupuka sumu
www.aqua.orgchura huyu ni mwenye rangi ya kuvutia lakini ajabu yake ukimgusa anasumu ambaya itasababisha kupooza na hata kufa



samaki mwenye umeme
www.aqua.orgsamaki huyu ana nguvu ya umeme inayomsaidia kukamata mawindo yake kwa chakula na wakati wa kusafiri nguvu ya umeme humsaidia kumulikia aendako

kabila la ajabu
http://traveltips4life.condition.netdna-cdn.com/wp-content/uploads/2015/03/uncontacted-tribe.jpg katika msitu huu kuna kabila ambalo halina mahusiano na watu wengine wa dunia hii
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: