RAIS MUGABE AONGOZA DUNIA KWA USOMI MIONGONI MWA MARAIS

...................

http://www.africacradle.com/wp-content/uploads/2015/02/ROBERT-MUGABE-3-1-816x458.pngnikweli imethibitika kuwa rais Mugabe ndiye rais msomi zaidi duniani,zifuatazo ni orodha ya degree alizonazo

(DEGREE ZA KUSOMEA YEYE MWENYEWE)ACADEMIC DEGREES:

  1. Bachelor of Arts (History and English) (BA) degree from the University of Fort Hare (1951)
  2. Bachelor of Administration (B.Admin) from University of South Africa (Unisa)
  3. Bachelor of Education (B.Ed) from the University of South Africa (Unisa)
  4. Bachelor of Science (BSc.) in Economics from University of London
  5. Bachelor of Laws (LLB) from University of London
  6. Master of Laws (LL.M) from University of London
  7. Master of Science (MSc.) in Economics from University of London
Degree mbili za sheria alizisomea wakati akiwa jela kati ya mwaka 1964 na 1975.

Degree zilizo tanguliwa anazo tatu.hizi hapa( REVOKED HONORARY DEGREES:)
  1. Honorary LLD degree from University of Edinburgh (1994), which was however revoked in June 2007.
  2. Honorary LLD degree from University of Massachusetts (1986), which was also revoked in June 2008.
  3. Honorary LLD degree from Michigan State University (1990), and was revoked on 12 September 2008.

Degree za kutunukiwa(HONORARY DEGREES):

  1. Honorary LLD degree from Ahmadou Bello University (Nigeria)
  2. Honorary LLD degree from Morehouse College (Atlanta, Georgia)
  3. Honorary LLD degree from University of Zimbabwe (Zimbabwe)
  4. Honorary LLD degree from St. Augustine’s University (Tanzania)
  5. Honorary LLD degree from Lomonosov Moscow State University (Russia)
  6. Honorary LLD degree from Solusi University (Zimbabwe)
  7. Honorary D.Litt. degree from Africa University (Zimbabwe)
  8. Honorary D.Civil Laws degree from University of Mauritius (Mauritius)
  9. Honorary D.Com. degree from For Hare University (South Africa)
  10. Honorary D.Tech. degree from National University of Science and Technology (Zimbabwe)
  11. Honorary D.Phil (African Heritage and Philosophy) degree from Great Zimbabwe University (Zimbabwe)
nini cha kufanya: 
Tunatakiwa kujifunza kwa mugabe kabla hajafa na kutoweka maana siri ya mafanikio itafukiwa kaburini. NA UKWELI WA MAISHA NI HUU:kula chakula bora,kaa mbali na starehe,jihusishe na michezo,ogopa wanawake.hivi ndivyo vilivyomfanya Mr Mugabe aishi miaka mingi(90) wakati watu wanakufa kwa HIV katika umri wa miaka 30
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: