Rais Zuma aongoza marais wenye elimu kidogo Afrika.Top 3 yao ni hii hapa
1. Jacob Zuma- Republic of South Africa
Zuma alizaliwa KwaZulu-Natal. Hajapata elimu rasmi yeyote baada ya elimu ya hule ya msingi.Aliishia darasa la tatu(standard 3)ambayo ni (now called grade 5)."2. Joseph Kabila- Democratic Republic of Congo
3. Presdient Ismaïl Omar Guelleh – Djboutielimu yake kubwa ni ya sekondari zaidi ya hapo hajapata elimu nyingine.
4. President Omar Hassan Ahmad al-Bashir – Sudan
Omar Hassan Ahmad al-Bashir alipata elimu ya msingi katika kijiji chao cha Hoshe Bannaga na elimu ya sekondari mjini
Khartoum, baada ya hapo hakuna ushahidi mwingine kuonyesha ana elimu zaidi ya hiyo.
5. Yahya Jammeh – Gambia
Anaelimu ya sekondari aliyoipata katika shule ya sekondari Bwiam. Elimu ya msingi aliipata katika shule za Kanilai Primary, Mt Edwards , lakini elimu ya A level aliipata Gambia high School iliyopo Banjul.
6. Paul Kagame – Rwanda
Kagame alianza masomo ya shule ya msingi karibu na kambi ya wakimbizi ambapo walifundisha kiingereza,baadaye alijihusisha na utamaduni wa kiganda. Akiwa na miaka 9 alihamia shule ya msingi Rwengoro,ambako aliongoza kwa ufaulu na kujiunga na shule ya sekondari Ntare,moja kati ya shule bora nchini ugandaAlifukuzwa shule Ntare na kumalizia elimu yake ya sekondari katika shule ya sekondari Old Kampala . Kagame, Baada ya hapo hajaendelea na masomo mpaka kawa rais.
7. Mohamed Ould Abdel Aziz – Mauritania
Alizaliwa katika kitongoji cha Akjouit,Mauritania mwaka 1956.Baada ya hapo alijiunga na chuo cha jeshi na kuweza kupata kazi katika jeshi la nchi yake. Kiujumla alijiita zaidi katika mambo ya jeshi japokuwa katunukiwa nishani nyingi za jeshi,ni mmoja kati ya marais wenye elimu kidogo barani afrika.
0 comments: