.RAIS ADHIHAKIWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
Rais wa FIFA bwana Sepp Blatter leo kaaibika baada ya mchekeshaji mmoja aliyevalia nembo ya taifa la Korea ya Kaskazini kumfanyia dhihaka akiwa ktk mkutano mjini Zuruch,
Kafanyiwa nini? katupiwa pesa na kuambiwa hii ni rushwa ya kuruhusu kombe la dunia kufanyika korea ya kaskazini mwaka 2026. Tazama picha zinavyotoa ujumbe hapo chini.
.
.
.
.
chanzo:daily mail
Kafanyiwa nini? katupiwa pesa na kuambiwa hii ni rushwa ya kuruhusu kombe la dunia kufanyika korea ya kaskazini mwaka 2026. Tazama picha zinavyotoa ujumbe hapo chini.
.
.
.
.
chanzo:daily mail
0 comments: