NI MTAZAMO TU KUHUSU CHELSEA

...................

Timu ya chelsea inahitaji matibabu ya kisaikolojia na pia kutatua mgogoro kati ya daktari wa timu na Jose. Nimeshuhudia mara nyingi kukiwa na migongano na mivutano katika timu hii, hupoteza mwelekeo.
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: