YALIYOJIRI BAADA YA RAIS MAGUFULI KULIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA JANA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Sophia Simba kwenye Viwanja vya Bunge mjini
Dodoma, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya
Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015. Picha na OMR
Waziri Mkuu wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa,
akizungumza jambo na Rais staafu wa awamu ya sita wa Zanzibar, Aman
Abeid Karume, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika
baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye
Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wakati wa hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba wakati
wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli
kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini
Dodoma.
Rais Magufuli (katikati) akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar,
Mohamed Ali Shein (kushoto) na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya
Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja
vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Mbunge wa Shinyanga mjini, Stephen Masele,
wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais
Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya
Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wakati wa
hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli
kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini
Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na mmoja kati ya wageni waalikwa wa Kimataifa,
wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais
Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya
Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Vijana wa UVCCM, wakati wa hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa,
Spika wa Bunge, Job Ndugai na Katibu wake, baada ya hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
chanzo:matukiotz.co.t

0 comments: