BREAKING NEWS KUTOKA KONGO BAADA YA MADREVA WA MALORI WA TANZANIA KUTEKWA

...................

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.
Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.
Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.

Kusikiliza sauti bofya link hii http:/habari-37380924
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: