Diamond kurekodi na staa mwingine wa Marekani?
Ni Headlines za Diamond Platnumz ambae kwasasa bado yuko nchini marekani kwenye maandalizi ya video ya single yake mpya aliyomshirikisha Neyo.
Sasa basi huenda kupitia nyimbo zake
zimempa nafasi ya kujulikana kimataifa hasa ulaya na marekani ambapo leo
September 5, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepost
picha akiwa na staa wa hit single ya ‘Down in the DM’ Yo Gotti na kuyandika…>>>One of the Real G have ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em famchanzo:http://millardayo.com

0 comments: