ZA HIVI PUNDE:KOCHA TIMU YA TAIFA ATIMULIWA
Kocha aliyekuwa anainoa timu ya Taifa la Uingereza Big Sam katimuliwa kazi. Sababu ya kutimuliwa ni kuzungu mzia njia zisizo halali za umiliki wa upande wa tatu wa mchezaji kwa waandishi wa habari
Big sam ameiongoza uingereza siku 67 tu na kwa mechi moja, hiyo kaongoza oroza ya makocha wa uingereza waliokaa muda mfupi kwenye timu
hapa chini pana orodha ya makocha waliokinoa kikosi cha uingereza kwa muda mfupi na kuachia kazi
Jina
|
Mechi
|
Muda wa kuongoza
|
Sam
Allardyce
|
1 (2016)
|
67 days
|
Steve
McClaren
|
18 (2007-2007)
|
One year,
six months, 18 days
|
Kevin
Keegan
|
18
(1999-2000)
|
One year,
seven months, 17 days
|
Terry
Venables
|
23
(1994-1996)
|
Two years,
four months, 29 days
|
Glenn
Hoddle
|
28
(1996-1999)
|
Two years,
nine months
|
Don Revie
|
29
(1974-1977)
|
Three
years, seven days
|
KOCHA PEKEE ALIYEDUMU MUDA MREFU NI
|
||
Walter
Winterbottom
|
139
(1946-1962)
|
18 years
|

0 comments: