...................
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Manchester City na Manchester
United, Carlos Tevez ambaye hivi sasa ana miaka 32 amefunguka kuhusu
uzushi ambao ume enea kuwa amestaafu soka. Amesema kwamba yeye hana
mpango wa kumalizia soka yake hapa nchini China na wanaotoa taarifa hizo
ni wazushi. Tavez kwa sasa anakipiga katika klabu ya Boca Juniors ya
nchini Argentina
chanzo: http://swahili.cri.cn/141/2016/12/16/1s159676.htm
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: