HELIKOPTA YAPATA AJALI DAR
...................
Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka.
Helikopta
imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu
wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya
tukio hili
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: