pronga69
Home
KITAIFA
KIMATAIFA
ELIMU/AJIRA
SIASA
MAHUSIANO
MICHEZO
AFYAA
BURUDANI
UTALII
UDAKU
VITUKO
IMANI
WAGENI KUTOKA NANJING CHINA WATEMBELEA OFISI ZA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
...................
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel kushoto akizungumza na watu kutoka Jamhuri ya watu wa china(hawapo pichani) walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Sanaa Bibi Leah Kihimbi.
Mkuu wa masuala ya Utamaduni, Utangazaji, Habari na Uchapishaji kutoka Nanjing China Bw. Yan Yiping kushoto akifafanua jambo walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel.
Baadhi ya wageni kutoka Nanjing China wakifuatilia mazungumzo yaliyokua yakiendelea walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kushoto ni Mkurugenzi msaidizi Mila Bibi Lily Beleko.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Wizara kutoka kwa Mkuu wa masuala ya Utamaduni, Utangazaji, Habari na Uchapishaji kutoka Nanjing China Bw. Yan Yiping walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni
SOURCE:UTAMU MTUPU
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments:
Newer Post
Home
Older Post
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.
Live Traffic Stats
Subscribe
To RSS Feed
2,056
Followers
119,689
Fans
4,002
Subscribers
BALOTELLI AKICHANA NYAVU
.
on line
Free Tumblr Online Counter
AJABU LA SABA LA DUNIA
SIO UCHAWI JAMANI NI.......
......
HABAI ZILIZO SOMWA ZAIDI
KUMBE SIKUJUA JINSI INAVYOKUWA ANGALIA VIDEO HII:Porn vs. Real Sex: Video Compares Sex Fantasy With Reality
SOMA KISA HIKI CHA MAPENZI: NIMEZAA NA DADA YANGU....NIFANYEJE...?
MWENYE JINSIA MBILI ANENA ANAVYOJISIKIA
Rasimu ya katiba mpya ya Tanzania yatangazwa
Copied from The Dailymailsports
0 comments: