HII KALI HEBU SIKIA, ETI UREMBO WA SIKU HIZI NI KUPAKA RANGI KWAPANI

...................

Eti mapambo ya kisasa kupaka rangi kwenye kwapa:
Mtindo mpya wa wanawake kujipamba umeanza kuibuka ambapo baadhi wanapaka rangi za kupendeza kwenye nyele za kwapa badala ya kuzinyoa. Msanii wa mapambo Roxie Hunt ambaye anafanya kazi katika Salon moja maarufu katika mji wa Seattle ni mmoja wa wanawake wanaoongoza kampeni ya kuutangaza mtindo huu mpya wa kupaka rangi kwenye nywele za kwapa.
Anasema; ''kupaka rangi kwenye nywele za kwapa zake inamfanya kujihusu huru zaidi anaweza kuinuia mikono jinsi anavyotaka na pia kuvalia jinsi anavyotaka kila wakati.'
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: