ATOKA NA DEMU WA BALOTELLI,UNAJUA NI NANI........?
Mchezaji wa West Ham anamahusiano na mpenzi wa zamani mchezaji mtukutu Mario Balotelli. Mchezaji huyo wa west ham ni Cheikhou Kouyate
. Ushahidi wa picha umewaonyesha wakifurahia maisha huko Milan wakati
wa mapumziko ya mechi za kimataifa, wakati huohuo Balo alikuwa na Friend
wake wakienjoy
.
..
.
.
.
.
.
chanzo:the daily mail
0 comments: