MAN UTD HAPATOSHI, HALI SI SHWARI, HUYU NDO MSABABISHAJI
Kwa muda sasa hali ya ndani ya timu ya Man utd si shwari, Hali hiyo imetokana na mambo mengi ikiwa ni pamoja na mazoezi yasiyo na mapumziko yanayotolewa na kocha mkuu(Van ) Hali hiyo imesababisha wachezaji kukumbuka nyakati za Mzee Fergie. Hadisasa yasemekana wachezaji na staff members hawali chakula kwa pamoja.
Katika kubaini chanzo imegundulika mtu mmoja anayeitwa my son na kocha mkuu ndio chanzo cha matatizo hayo, mtu huyo anatambulika kama Max Reckers(huyo anayeonekana pichani pembeni ya kocha)
Zaidi soma hapo
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3229640/Manchester-United-performance-analyst-Max-Reckers-one-main-reasons-player-unhappiness.html
source:the dail mail
0 comments: